Mchezaji wa PSG anatajwa kua ndio captain Mpya

Tetesi: Mchezaji wa PSG anatajwa kua ndio captain Mpya wa timu ya Taifa ya Ufaransa baada ya captain wa timu iyo...

Beki kitasa kotoka Zanzibar

Mechi dhidi ya US Monastir uwanja wa Mkapa Ambayo Yanga ilishinda kwa mabao mawili ndio ilikua mechi ya kwanza kwa beki...

Simba na Yanga Robo fainali

Kwa Mara Ya kwanza Tanzania yaingiza timu mbili robo fainali ya michuano ya @CAF_Online

CHAMA Mchezaji Bora Round ya 4 klabu bingwa Africa

Mchezaji Bora Round ya 4 klabu bingwa Africa, Je anaweza anaweza kua mchezaji bora round ya 5 tena baada ya kufunga...

MSUVA KAFUNGUKA JAMBO KUHUSU WAARABU…

Winga wa Al-Qadsiah ya Saudi Arabia, Mtanzania Simon Msuva, amesema ili mchezaji afanikiwe kwenye ligi ya nchini humo, analazimika kutumia nguvu...

WAGOMBEA SIMBA WALIA NA KATIBA

Klabu ya Simba ipo kwenye mchakato wa kufanya uchaguzi mkuu huku kampeni kwa wagombea wa uchaguzi huo zikifunguliwa rasmi juzi Jumatano...