15 Aug
admin

BAADA ya kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara, timu ya DTB imebadilishwa jina na kuwa Singida Big Stars FC na kituo chake kitakuwa ni Uwanja wa Liti uliopo Singida.

04 Aug
admin

Ihefu F.C. ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo mkoani Mbeya. Makao makuu ya klabu hiyo ni Wilaya ya Mbarali kata ya Ubaruku ambapo ndipo ulipo uwanja wa klabu hii. Kwa sasa michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Highlands Estates Stadium, uliopo Ubaruku wilayani Mbarali, mkoa wa Mbeya.

27 Jul
admin

Young Africans Sports Club, commonly referred as Yanga is a Tanzanian football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium. Nicknamed “Yanga” (Young Boys),[2] the club has won 28 league titles and number of domestic cups, and have participated in multiple…