Young Africans ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi, baada ya kushushwa na watani zao Simba SC kwa utofauti wa alama moja, ambayo Simba wana alama 27 na Yanga anazo 26 na michezo michache zaidi ya Simba. Hiyo ilikuwa ni maandalizi ya kujiweka sawa kwa mchezo huo ambao Yanga atahitaji kushinda ili arudi kileleni…