Erik ten Hag amegundua nafasi sahihi ya Fred katika klabu ya Manchester United. Fred alianza katika safu ya kiungo ya Man United katika mechi mbili za mwanzo, lakini alisugua benchi wiki za hivi karibuni wakati fred alipopangwa pamoja na Scott McTominay katika mechi ya kwanza ya Manchester United msimu huu mwezi uliopita, mashabiki wengi walihisi…