25 Sep
admin

Anthony Joshua ameweka wazi kuwa atasaini mkataba wa pambano dhidi ya Tyson Fury mnamo Desemba 3. Mpambano wa ‘Battle of Britain,(‘Vita vya Uingereza’) ulionekana kuwa katika hatari ya kuporomoka baada ya Fury kutoa mkataba nakakutaka kutiwa saini mwisho Jumatatu lakini promota wa AJ Eddie Hearn alipuuza hatua hiyo ya haraka. Hilo lilizua wasiwasi kwamba pambano…