19 Jan
admin

Winga wa Al-Qadsiah ya Saudi Arabia, Mtanzania Simon Msuva, amesema ili mchezaji afanikiwe kwenye ligi ya nchini humo, analazimika kutumia nguvu na akili kwa wakati mmoja, vinginevyo ataishia kushangaa.Msuva alitofautisha na Morocco ambako wanatumia akili na mbinu kuhakikisha timu inapata matokeo ya ushindi na kwamba nguvu siyo kitu wanachokizingatia, wakiamini mchezaji akiwa mbunifu atafanya majukumu…

19 Jan
admin

Klabu ya Simba ipo kwenye mchakato wa kufanya uchaguzi mkuu huku kampeni kwa wagombea wa uchaguzi huo zikifunguliwa rasmi juzi Jumatano lakini imeonekana kwamba kasi ya watani zao Yanga ndiyo inayowaumiza wanachama wa Simba.Katika ufunguzi wa kampeni hizo zilizofanyika Magomeni jijini Dar es Salaam wagombea wote waliojitokeza kwenye uzinduzi huo walionekana kuumizwa na mafanikio ya…