Mechi dhidi ya US Monastir uwanja wa Mkapa Ambayo Yanga ilishinda kwa mabao mawili ndio ilikua mechi ya kwanza kwa beki kitasa kotoka Zanzibar kuanza katikati michuano ya Africa. Pia ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania.

admin
March 20, 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *