Club ya Yanga SC dakika chache kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili wametangaza kumsajili beki wa kati Mamadou Doumbia (27)) Raia wa Mali, Mamadou anatokea club ya Stade Malien.

admin
January 19, 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *