Club ya Simba SC imetangaza kumsajili Jean Othos Baleke (21) kuwa mchezaji wao mpya ikiwa ni saa chache zimesalia kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili.

Inaripotiwa Simba SC imemsajili mchezaji huyo kwa mkataba wa miaka miwili (2025) akitokea TP Mazembe ya nchini kwao Congo DR.

Baleka anatarajia kuwasili Simba SC mwanzoni mwa wiki hii akitokea Lebanon alipokuwa anacheza kwa mkopo Nejmeh SC.

admin
January 19, 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *