Club ya Simba SC leo imemtambulisha rasmi Kocha Mkuu mpya Raia wa Brazil Roberto Oliviera Do Carmo (62) kama Kocha wao mpya ambaye ataongeza nguvu katika kikosi chao.

Roberto Oliviera ni kocha ambaye amepata umaarufu Afrika Mashariki kutokana na kujenga vyema Vipers SC ya Uganda ambao ndio waliwatoa club Bingwa Afrika msimu huu TP Mazembe.

admin
January 4, 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *