
Mshambulizi wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo akiwa kwenye picha akiwa na dole gumba baada ya kufaulu uchunguzi wa kimatibabu nchini Saudi Arabia.
CR7 tayar ameshafanyiwa vipimo vya afya na baada ya hapo atatambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa @alnassr_fc