Winga wa Al-Qadsiah ya Saudi Arabia, Mtanzania Simon Msuva, amesema ili mchezaji afanikiwe kwenye ligi ya nchini humo, analazimika kutumia nguvu na akili kwa wakati mmoja, vinginevyo ataishia kushangaa.Msuva alitofautisha na Morocco ambako wanatumia akili na mbinu kuhakikisha timu inapata matokeo ya ushindi na kwamba nguvu siyo kitu wanachokizingatia, wakiamini mchezaji akiwa mbunifu atafanya majukumu…