KIUNGO mpya wa klabu hiyo, Saido Ntibazonkiza, anatarajiwa kuanza kuichezea Simba SC kesho katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Prisons, ingawa huenda klabu hiyo ikatoa taarifa ya mchezaji mpya iliyemnunua katika dirisha fupi lililofunguliwa.


Endapo kila kitu kitaenda sawa na mipango Ntibazonki atakuwa kiungo wa timu itakayoshuka uwanjani kuwakabili Maafande wa Prisons kwa mujibu wa meneja habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally.


Mchezaji huyo amejiandaa kuimarisha timu ya Simba SC, kwa mujibu wa Ahmed, na wanaamini ujio wake utakuwa na manufaa.
“Siku hiyo uwanjani itaonekana kama sherehe kwa wachezaji na mashabiki wa Simba SC.

admin
December 29, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *