Kocha Charles Boniface Mkwassa Master ameamua kujiuzulu Ruvu Shooting ambayo msemaji wake ni Masau Bwire baada ya mwenendo usioridhisha.
Mkwassa ametangaza hayo kupitia Sports HQ ya EFM muda mfupi uliopita ambapo amesema anapisha jahazi hilo lichukuliwe na mwingine.
Kwenye msimamo wa Ligi Kuu, Ruvu wapo nafasi ya 15 ikiwa na pointi 11, nafasi moja kutoka mkiani kunakoshikiliwa na Polisi Tanzania wenye pointi 9.

admin
December 5, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *