Club ya Polisi Tanzania imemtangaza Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera kuwa Kocha Mkuu.

Zahera anajiunga na Polisi baada ya kumalizana na Yanga SC ambapo amehudumu kwa vipindi viwili tofauti,

Awali Zahera alikuwa kocha Mkuu wa timu (2018-2019) na baadae akarejea kama Mkurugenzi wa Maendeleo ya soka la vijana (2021-2022).

admin
December 2, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *