atika kukuza sekta ya michezo nchini, wazazi na walezi waketakiwa kuwapa fursa watoto wao kushiriki katika michezo ikiwemo Mpira wa Miguu ili kukuza vipaji vyao.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Hassan Masawe ambaye ni Mratibu Mkuu wa Elimu, Genesis amesema ni vyema wazazi na walezi wakaangalia upande wa pili wa vipaji vya watoto wao.

.

“Tunatumi mfumo wa Kimataifa kuwafundishia, hapa tunaendeleza vipaji vya watoto wazazi wasiangalie tu kwa upande wa darasani bali na upande wa pili wa vipaji vya watoto wao,”.

Kwa Upande wake, Mzazi na Mdau wa Michezo Tuamini Shija amesema hatua ya Genesis kutumia mifumo ya Kimataifa kufundishia ikiwemo katika michezo itasaidia kufungua mwanga vya kuibuliwa kwa vipaji vya watoto.

admin
November 24, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *