Young Africans ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi, baada ya kushushwa na watani zao Simba SC kwa utofauti wa alama moja, ambayo Simba wana alama 27 na Yanga anazo 26 na michezo michache zaidi ya Simba.

Hiyo ilikuwa ni maandalizi ya kujiweka sawa kwa mchezo huo ambao Yanga atahitaji kushinda ili arudi kileleni mwa Ligi na kuendeleza rekodi yake ya kutopoteza kwenye michezo 47 na hivyo kuikaribia ile rekodi iliyowekwa na Arsenal ya mechi 49 bila kupoteza mwaka 2003-2004.

admin
November 21, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *