Winga wa Man United Mason Greenwood (21) amehudhuria Mahakamani leo jijini Manchester ili kuendelea na kesi inayomkabili ya ubakaji na unanyasaji wa kisinjia kwa aliyekuwa mpenzi wake Harriet Robson.

Kesi hiyo imeahirishwa na itasikilizwa tena February 10 2023 kabla ya hukumu kutolewa November 27 2023, hivyo Greenwood ataendelea kuwa nje ya timu hadi pale hukumu itakapo toka.

Mwendesha mashtaka Jason Pitter KC aliiambia Mahakama kuwa kesi inahitaji baadhi ya viti kuzingatiwa kabla ya kuendelea.

admin
November 21, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *