27 Oct
admin

Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya M-BET imeinga mkataba wa miaka mitano na club ya Simba Queens wenye thamani ya Sh bilioni 1, Simba Queens kwa sasa wapo mjini Rabat, Morocco ikishiriki mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mkurugenzi wa masoko wa M-BET Tanzania Allen Mushi alisema kuwa wameamua kuingia mkataba na timu hiyo kutokana na…

19 Oct
admin

Club ya Yanga leo imetangaza kuingia mkataba na Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF kwa ajili ya kusaidia jamii katika utoaji wa elimu ya kujikinga na UVIKO-19 na Ebola. Taarifa za mkataba huo zimetangazwa leo na Rais wa Yanga SC Hersi Said mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. “Leo kwa mara…

19 Oct
admin

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu “Tembo Warriors” leo wamefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu kwa kuifunga Japan 3-1. Michuano ya Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu inachezwa Uturuki na sasa Tanzania itacheza robo fainali dhidi ya Haiti ambao…

19 Oct
admin

Wasanii wawili wa sarakasi kutoka Tanzania Ibrahim na Fadhili Ramdhan wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers wamefanikiwa kuibuka Washindi wa hatua ya kwanza kwenye shindano la Australia’s Got Talent mwaka 2022 na sasa wataendelea kwenye hatua inayofuata ya Shindano hilo. Hii ni mara ya kwanza kwao kufika Australia na mara ya kwanza kwao kufanya onesho…

04 Oct
admin

Tottenham ilikosa nafasi ya kusonga mbele katika Kundi D katika Ligi ya Mabingwa baada ya kulazimishwa sare tasa na Eintracht Frankfurt. Ilikuwa siku ya kupoteza kwa kikosi cha Antonio Conte, ambacho kilipiga mashuti mawili pekee yaliyolenga goli baada ya majaribio 11 nchini Ujerumani. Harry Kane na Heung-min Son walikaribia zaidi, lakini sasa wameshindwa kupata bao…

04 Oct
admin

Liverpool walifaulu kushinda mfululizo wa Ligi ya Mabingwa baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rangers, huku Trent Alexander-Arnold akifunga mabao la kwanza. Kikosi cha Jurgen Klopp kimekuwa nje ya kasi msimu huu lakini hivi karibuni kilichukua uongozi kwenye Uwanja wa Anfield baada ya mpira wa adhabu uliopigwa na Alexander-Arnold kupita Allan McGregor. Mohamed…