Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars imefanya mazoezi katika uwanja wa Westbourne Oval, kujiandaa kwa mchezo wa kesho dhidi ya Botswana mashindano ya Wanawake HOLLYWOODBETS COSAFA.

admin
September 4, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *