
FP1: Russell akiongoza (FP1) Mercedes 1-2 huku Verstappen akikabiliwa na tatizo katika mazoezi ya kwanza ya Uholanzi GP. George Russell aliongoza nakuwa mbele ya Lewis Hamilton katika Mercedes 1-2 katika mazoezi ya ufunguzi wa Uholanzi Grand Prix, huku shujaa wa nyumbani Max Verstappen alisimama kwa tatizo lililo hisiwa kuwa la "Transmission".

