Mkataba wa Emerson Palmieri. West Ham wamewasiliana na Chelsea kumsajili beki wa kushoto wa Italia, Todd Boehly aliweka wazi kuwa anataka tu kumuuza Emerson kwa mkataba wa kudumu, nasio kumtoa kwa mkopo.

Nice ilitoa mkopo mwezi Julai na ikakataliwa, hakuna mazungumzo zaidi.

admin
August 15, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *