Manchester City wako tayari kukamilisha usajili mpya na wa mwisho huku Manuel Akanji akijiunga kutoka Borussia Dortmund, hapa tunaenda! ▫️ Ada ya uhakika ya €17m pamoja na nyongeza kwani Man City walitaka beki mpya wa kati kumsaidia Pep Guardiola. ▫️ Mkataba umeshakubaliwa na vipimo tayari nchini Uingereza kumfanya Akanji kama mchezaji mpya wa Manchester City….