uly 27, 2022 Club ya Yanga ilisaini mkataba mpya wa udhamini wa miaka mitatu na kampuni ya SportPesa wenye thamani ya Tsh Bilioni 12.033.

Mkataba huu unamfanya SportPesa kuendelea kuwa Mdhamini mkuu na Yanga SC watakuwa wanapata Tsh. Bilioni 4 kila mwaka.

Sasa hapa nimekusogezea ufahamu alichokiandika Kigwangalla kuhusu Mkataba huo baada ya kuulizwa na Shabiki.

admin
July 30, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *