SHARE Club ya Yanga SC hatimae imemtambulisha Staa wa Asec Mimosa ya Ivory Coast na Timu ya Taifa ya Burkinafaso Stephane Azizi Ki (26) kuwa ni sasa ni Mchezaji wake.
SHARE Club ya Yanga SC hatimae imemtambulisha Staa wa Asec Mimosa ya Ivory Coast na Timu ya Taifa ya Burkinafaso Stephane Azizi Ki (26) kuwa ni sasa ni Mchezaji wake.
uly 27, 2022 Club ya Yanga ilisaini mkataba mpya wa udhamini wa miaka mitatu na kampuni ya SportPesa wenye thamani ya Tsh Bilioni 12.033. Mkataba huu unamfanya SportPesa kuendelea kuwa Mdhamini mkuu na Yanga SC watakuwa wanapata Tsh. Bilioni 4 kila mwaka. Sasa hapa nimekusogezea ufahamu alichokiandika Kigwangalla kuhusu Mkataba huo baada ya kuulizwa na…
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ya wachezaji wa ndani leo imeshinda 1-0 dhidi ya Somalia katika mchezo wao wa kwanza kuwania kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika 2023 nchini Algeria kwa wachezaji wa ndani (CHAN). Tanzania imepata goli hilo kupitia kwa Abdul Seleman Sopu dakika ya 46 na itacheza tena na Somalia…
Mabingwa wa Ligi Kuu ya vijana nchini Ufaransa (U-19) club ya Montpellier wakati wakisubiri kucheza mchezo wao wa nusu fainali ya Cambiasso Tournament U-20 Ijumaa ya August 29 katika uwanja Benjamin Mkapa dhidi ya KCCA ya Uganda wametembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa ajili ya kufanya utalii na kujionea wanyama.
Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!